MAN UNITED YAANZA NA SOLAR

Dimba - - Maoni -

TAYARI Man United wamepeleka ofa ya Pauni mil 30 kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Valencia, Carlos Solar.

Mchezaji huyo mwenye miaka 21, anaonekana kuvutiwa na uhamisho huo utakaofanyika mwisho wa msimu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.