CHELSEA, MAN CITY VITANI KWA WILSHERE

Dimba - - Maoni -

VIGOGO Chelsea na Manchester City wanapigana vikumbo kuiwania saini ya kiungo Jack Wilshere endapo mazungumzo ya mkataba mpya yatagonga mwamba Arsenal.

Wilshere amekosa nafasi kwenye kikosi cha Arsenal licha ya kucheza michezo yote mitatu kwenye michuano ya Uropa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.