JUVENTUS KUNG’OA KITASA LAZIO

Dimba - - Maoni -

IMERIPOTIWA kuwa Juventus wapo tayari kumsajili Stefan de Vrij, endapo atashindwa kusaini mkataba na timu yake ya Lazio.

Mkataba wa Vrij unamalizika mwisho wa msimu huu, huku kukiwa hakuna matumaini yoyote ya kuendelea kubaki Lazio.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.