OZIL AIKANA MAN UNITED

Dimba - - Maoni -

LICHA ya kutosaini mkataba mpya mpaka sasa, kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil, amepuuzia habari zinazomhusu kujiunga na Man United.

Ozil amewataka mashabiki wa Arsenal kuachana na taarifa hiyo sababu hana mpango wa kuondoka London msimu ujao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.