HENRY ONYEKURU KURUDISHWA EVERTON

Dimba - - Jumapili -

EVERTON inataka kumrudisha straika wao aliye kwa mkopo Ubelgiji, Henry Onyekuru, 20. Onyekuru alisajiliwa majira yaliyopita ya kiangazi, lakini aliachwa nchini humo katika klabu ya Anderlecht na ripoti zinasema anaweza kutua England Januari.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.