CIRO IMMOBILE ATAKIWA CHELSEA

Dimba - - Jumapili -

KLABU ya Chelsea imeonesha nia ya kuitaka saini ya mshambuliaji wa Lazio aliye kwenye fomu hivi sasa, Ciro Immobile, 27, mwenye thamani ya pauni milioni 53, kwa ajili ya kumfurahisha kocha wao, Antonio Conte, The Sun limeripoti.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.