CLAUDE PUEL AANZA NA BEN ARFA

Dimba - - Jumapili -

TETESI zinasema kuwa, baada ya kocha Claude Puel kupewa mkataba wa kuinoa Leicester City, ameanza kutema cheche zake kwa kumfukuzia winga wa PSG, Hatem Ben Arfa, ambapo kwa mujibu wa ripoti kutoka Ufaransa, kocha huyo anatamani kumrudisha ‘ndugu yake’ huyo England.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.