MECKY MEXIME

Dimba - - Jumapili -

KOCHA wa Kagera Sugar amesema ligi msimu huu ni ngumu sana, timu nyingi zimejiandaa vizuri, ushindani umekuwa mkubwa na wao hawajaanza vizuri ila wanapambana kupata matokeo na yatakuja tu. Kagera Sugar msimu uliopita walionyesha ushindani mkubwa katika ligi na kufanikiwa kuchukua nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu msimu wa 2016/17.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.