ZUBERI KATWILA

Dimba - - Jumapili -

KOCHA wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila, amesema ligi ya msimu huu ni ngumu pia ameelezea mipango ya timu yake huku akisisitiza wamepania kumaliza ndani ya tatu bora na inapaswa kuendelea kuwa hivi ambavyo ipo sasa ili kuleta ushindani. Mtibwa wameanza vizuri ligi kama kawaida yao na mismu huu wanaonekana kuwa imara zaidi, kwani hawajapoteza mchezo hata mmoja kati ya michezo saba waliyocheza hadi sasa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.