MOHAMED KIJUSO

Dimba - - Jumapili -

KOCHA msaidizi wa Mbeya City amesema ligi ni ngumu na ukizingatia wao wameanza vibaya, wanatafuta namna ya kuisaidia timu yao ili iweze kuchukua nafasi ya saba bora na suala la ubingwa wameachana nalo. Mbeya City ilianza kwa moto ligi misimu mitatu iliyopita, lakini baadaye walianza kushuka na kupoteza mwelekeo na mpaka sasa wanashikilia nafasi ya sita wakiwa na pointi 11.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.