Mashindano ya ngumi kutimua vumbi leo

Dimba - - Jumapili - NA GLORY MLAY

MASHINDANO ya ‘Nyerere Cup’ kwa mchezo wa ngumi yanatarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na DIMBA jana, Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi Tanzania (BFT), Makore Mashaga, alisema mashindano yatakuwa na ushindani mkubwa kutokana na yatashirikisha mabondia kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.