ARDA TURAN

HUYOO UTURUKI

Dimba - - Jumapili -

FENERBAHCE wameripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na Barcelona kwa ajili ya uhamisho wa kiungo Mturuki, Arda Turan, ambaye maisha ya Hispania hivi sasa yamemshinda na huenda akaondoka Camp Nou mapema Januari mwakani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.