ARSENAL WAMFUKUZIA MRITHI WA OZIL

Dimba - - Jumapili -

KIUNGO wa klabu ya VfB Stuttgart, Berkay Ozcan, yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Arsenal, baada ya washika mitutu hao wa London kumfuatilia kinda huyo na kujiridhisha, ingawa mchezaji huyo hajaonesha papara ya kutua London, lakini Arsenal ni klabu anayoiÀkiria.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.