KINDA BARCA AWA LULU

Dimba - - Jumapili -

MIAMBA mitatu ya soka barani Ulaya, Man United, Arsenal na Bayern Munich, imeanza kupigana vikumbo kuiwania saini ya straika chipukizi wa klabu ya Barcelona, Jose Arnaiz, aliyeifungia timu yake hiyo bao kwenye mchezo wa Copa del Rey mapema wiki hii na kuonesha kiwango cha hali ya juu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.