JORAM MGEVEKE

Dimba - - Jumatano -

BEKI wa kati wa timu ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga, amesema licha ya timu yao kutokuwa katika ubora kama msimu uliopita, lakini hilo haliwatishi kwani wanaamini watakaa sawa na kuanza kuleta ushindani. Mgeveke alisema kuwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakibezwa na watu kuwa wameshuka uwezo, lakini anaamini wataimarika zaidi watakaporejea mara baada ya michezo ya kimataifa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.