TCA U19 yaichapa MCC ya Uingereza

Dimba - - Jumatano - NA GLORY MLAY

TIMU ya TCA U19 ya kriketi ibeibuka kidedea baada ya kuifunga MCC kutoka Uingereza kwa mikimbio 217-186 na mitupo 6-4 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu, jijini Dar es Salaam. Klabu ya MCC ya Uingereza imekuja Tanzania kwa ajili ya kushiriki michuano ya kirafiki ambayo hufanywa kila mwaka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.