Juhud kujiuliza kwa Shakeboys

Dimba - - Jumatano - NA ESTHER GEORGE

TIMU ya Juhud itashuka dimbani leo kupambana na Shakeboys katika mchezo wa Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Ubungo, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na DIMBA jana, Katibu wa Chama cha Soka Wilaya ya Ubungo (UFA), Frank Mchaki, alisema mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali kwani timu zotezimeshafanya maandalizi ya kutosha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.