DonBosco, Kombaini Msasani hapatoshi

Dimba - - Jumatano - NA ESTHER GEORGE

TIMU ya soka ya DonBosco inatarajia kushuka dimbani wikiendi hii kupambana na Kombaini Msasani katika mchezo wa mashindano ya Msasani Super Cup, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Msasani Magunia, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na DIMBA jana, Kocha Mkuu wa DonBosco, Issa Guaediola, alisema wamefanya maandalizi ya kutosha hivyo watahakikisha wanapata matokeo mazuri.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.