ANDREW VINCENT

Dimba - - Jumatano -

MLINZI wa kati wa klabu ya Yanga, amesema kuwa msimu huu umekuwa mgumu kwao ingawa ugumu huo hautoweza kuwazuia kutetea taji lao. Alisema msimu huu timu zimekuwa zikiingia kwa kuwakamia zaidi ndio sababu wamekuwa na tahadhari kubwa katika michezo yao hasa ya mikoani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.