MOHAMED ISSA 'BANKA'

Dimba - - Jumapili -

KIUNGO wa timu ya Mtibwa Sugar, Mohamed Issa ‘Banka,’ amesema kuwa, amefurahishwa na kitendo cha kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa mara ya pili, kwani ni hatua nzuri katika soka lake. Alisema kuwa, hiyo ni heshima kwake, kutokana na kuaminiwa na Watanzania na atatumia muda huo kuwadhihirishia kuwa hawakufanya makosa kumuita.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.