OMARY MPONDA

Dimba - - Jumapili -

MSHAMBULIAJI wa timu ya Ndanda na timu ya vijana chini ya miaka 23, amesema kuwa, malengo yake hivi sasa ni kucheza soka nje ya mipaka ya Tanzania na anaamini jambo hilo litatimia. Mkali huyo alikuwa katika kiwango bora msimu wa 2015/16, alishindwa kung’ara msimu uliopita kutokana na kukumbwa na majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa kipindi kirefu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.