MOHAMED MKOPI

Dimba - - Jumapili -

MSHAMBULIAJI wa 'Wagonga nyundo,' Mbeya City, Mohamed Mkopi, amesema alikuwa na hamu ya kucheza na Yanga, lakini anasikitika kuwakosa vijana hao wa Lwandamina kutokana na adhabu ya kadi inayomkabili. Kiungo huyo alipata kadi za njano katika michezo mitatu ya hivi karibuni ambayo ni dhidi ya Majimaji, Azam Fc pamoja na Simba SC.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.