IBRAHIM MAOKOLA

Dimba - - Jumapili -

MKALI wa masumbwi wa uzito wa kati anayekuja kwa kasi hivi sasa, amevishauri vyama vya ngumi za kulipwa kuacha malumbano ya mara kwa mara, kwani ndio chanzo cha anguko la ngumi za kulipwa hapa nchini. Alisema kuwa, kama lengo lao ni moja la kuupeleka kimataifa mchezo huo, basi hawana budi kukaa chini na kumaliza tofauti zao ambazo hazijengi na zimekuwa zikiwaumiza mabondia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.