LAUREAN MPALILE

Dimba - - Jumapili -

BEKI wa kushoto wa Maafande wa Jeshi la Magereza, Tanzania Prisons, ambaye ni nahodha wa timu hiyo, amesema kuwa, msimu huu wamepania kushika nafasi za juu katika msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Alisema kuwa, Prisons msimu huu wapo katika kiwango bora kutokana na aina ya kikosi walichonacho, ambacho kinawafanya waweze kupata matokeo katika uwanja wowote ule.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.