Makongo SC yachapwa 3-1

Dimba - - Jumapili - NA ESTHER GEORGE

TIMU ya Full Squad United imeichapa Makongo SC mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Daraja la Tatu, uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Ukombozi, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulikuwa wa aina yake, kwani timu zote zilionyesha kandanda safi, lakini Full Squad waliwazidi ujanja Makongo na kufanikiwa kuibuka na ushindi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.