Mwitu watinga nusu fainali

Dimba - - Jumapili - NA GLORY MLAY

TIMU ya Mwitu imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya juzi kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mkujuni, katika mchezo wa Kombe la Mbuzi, uliochezwa kwenye Uwanja wa Transfoma, jijini Dar es Salaam. Mabao ya ushindi yalipachikwa kimiani na mchezaji Abdallah Isay dakika ya 34, kabla ya Patrick James kufunga la pili dakika ya 67.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.