Street Warriors yafungashiwa virago

Dimba - - News - NA VALERY KIYUNGU

TIMU ya Street Warriors imefungasha virago katika mashindano ya Kombe la Chama cha Soka cha Ubungo (UFA), baada ya kufungwa bao 1-0 na Shein Rangers, katika mechi iliyopigwa juzi, Uwanja wa Kinesi, Sinza, Dar es Salaam. Bao pekee la washindi lilifungwa na Abdul Kielula dakika ya 71 ya mchezo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.