Moro City yaichapa Living Hope

Dimba - - News - NA VALERY KIYUNGU

TIMU Moro City imefuzu robo fainali ya mashindano ya Chama cha Soka Manispaa ya Morogoro (MMFA), baada ya kuifunga Living Hope FC bao 1-0, katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Sabasaba, mjini Morogoro. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa MMFA, Kafale Maharagande, bao la Moro City lilifungwa na Katunzi Thobias dakika ya 10, akitumia makosa ya mabeki wa Living Hope.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.