Makombani FC bingwa Chabo Cup

Dimba - - News - NA GLORY MLAY

TIMU ya Makombani FC imetwaa ubingwa wa michuano ya Chabo Cup, baada ya kuwachapa Ota Mapembe kwa mikwaju ya penalti 3-2, katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Nyundo, jijini Tanga.

Mpaka dakika 90 za mchezo zinakwisha timu hizo zilikuwa zimetoka sare ya mabao 3-3, kabla ya kupigiana mikwaju ya penalti.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.