Nandi amkosha Monalisa, Hamisa Mobetto

Dimba - - Burudani - NA SHARIFA MMASI

MWIGIZAJI mkongwe wa filamu Tanzania, Yvone Cherrie ëMonalisaí, ameonyesha hisia zake kupitia video iliyotupiwa kwenye moja ya mitandao ya kijamii, akiimba na kucheza kwa hisia wimbo ëNinogesheí wa msanii Faustina Charles ëNandií.

Video hiyo ilimwonyesha Monalisa akiimba na wenzake huku akilitaja jina la Nandi kuashiria kwamba, maneno na sauti iliyotumika imekonga moyo wake.

Mbali na Monalisa, mastaa wengine waliotupia video wakiimba wimbo huo kwenye kurasa zao za kijamii ni mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.