Usaili 'Miss Kinondoni' leo

Dimba - - Burudani - NA JEREMIA ERNEST

U

SAILI wa warembo wanaotaka kushiriki shindano la Miss Kinondoni unatarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Millennium Tower, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mratibu wa shindano hilo, Rahma George, warembo watakaojitokeza kwenye usaili na kufaulu watapewa fomu ya ushiriki bila gharama yoyote. ìTumeamua kufanya usaili ili kupunguza mlolongo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuwapa washindi muda wa kujifua katika kipindi chote cha mwezi huu,î alisema Rahma.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.