BELLERIN HUMWAMBII KITU NA ARSENAL

Dimba - - Burudani -

BEKI wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin (23), ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuiacha klabu hiyo msimu ujao. Kauli ya Bellerin itakuwa imemaliza tetesi za Barcelona na Juventus zilizokuwa zikitajwa kuifukuzia saini yake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.