BAKAYOKO AANZA KUMLILIA CONTE

Dimba - - Burudani -

KIUNGO wa Chelsea, Tiemoue Bakayoko, amesema atajisikia vibaya sana kama kocha Antonio Conte, ataondoka katika klabu hiyo. Kiungo huyu alitua Chelsea mwanzoni mwa msimu akitokea Monaco, lakini ameshindwa kufanya vyema mpaka sasa chini ya Conte.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.