MKHITARYAN AWA MBOGO KUKUMBUSHWA MOURINHO

Dimba - - Burudani -

HENRIKH Mkhitaryan, amekuwa mbogo baada ya kuambiwa kuwa aling’ang’ania kubaki Manchester United alipoambiwa anatakiwa kwenda Arsenal. Kiungo huyo amesema alipoambiwa anatakiwa kwenda Arsenal hakufikiria mara mbili kwa sababu alikuwa na ndoto ya kucheza Emirates.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.