FEKIR ATABIRIWA MAKUBWA ENGLAND

Dimba - - Burudani -

GWIJI wa zamani wa Arsenal, Thiery Henry, anaamini Liverpool watakuwa wamelamba dume kwa kumsajili kiungo wa Lyon, Nabil Fekir. Henry amesema Fekir ana kipaji kikubwa hivyo anampa nafasi ya kuwa staa katika ligi hiyo ngumu barani Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.