PIRES: MOURINHO ALIBUGI SANA KUMUUZA DEPAY

Dimba - - Burudani -

ROBERT Pires ameiangalia kasi ya Memphis Depay na kusema kuwa Manchester United walifanya makosa makubwa kumuuza winga huyo. Depay amekuwa katika kiwango bora msimu huu akiwa na Lyon, hali iliyomfanya Pires amtumie lawama kocha wa United, Jose Mourinho, kwa kushindwa kumvumilia Mholanzi huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.