Kiluvya waipigia tizi FDL mapema

Dimba - - News - NA GLORY MLAY

MWENYEKITI wa timu ya Kiluvya United, Edward Mgogo, amesema mikakati yao ni kuanza mapema maandalizi ya timu hiyo ili kukabiliana na ushindani wa timu za Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao.

Kiluvya United ilishindwa kupanda daraja Ligi Kuu msimu uliopita kutokana na kufanya vibaya, ambapo Mgogo alisema wameamua kuanza maandalizi mapema ili kupata mwanga wa kuhimili ushindani wa FDL.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.