Vipigo vyawavuruga Gwasa FC

Dimba - - Dimba Special - NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

WAKATI Ligi ya Mabingwa ikiendelea, timu ya Gwassa FC imesema haielewi ni kwanini inaendelea kupoteza michezo yake.

Timu hiyo ipo katika kituo cha Singida na mchezo wa juzi ilikubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa Majimaji Rangers ya Lindi.

Akizungumza na DIMBA Jumatano, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Masugu, alisema licha ya kujiandaa lakini wameendelea kupoteza michezo yao.

Katika mchezo mwingine wa kundi C ambalo michezo yake inachezwa katika Uwanja wa Namfua, Mtwivila ya Iringa iliifunga Stand Dortmund ya Singida kwa bao

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.