Judo wajipanga kufuzu Olimpiki 2020

Dimba - - News - NA SHARIFA MMASI

UONGOZI wa Chama cha Judo Tanzania (Jata), umeanza maandalizi ya timu ya Taifa ya mchezo huo inayojiwinda na mashindano ya Afrika mwishoni mwa mwezi huu kuwania kufuzu michuano ya Olimpiki Septemba, 2020.

Mashindano ya kufuzu kushiriki olimpiki yamepangwa kufanyika katika nchi mbalimbali, ikiwamo barani Ulaya, Tunisia pamoja na Morocco.

Akizungumza na DIMBA Jumatano, Katibu Mkuu wa JATA, Innocent Malya, alisema watashiriki mashindano ya kufuzu katika nchi ambayo itaendana na bajeti yao.

Msanii wa kizazi kipya. Lid Ali (kulia), akizungumza na mwandishi wa Kampuni ya New Habari (2006) LTD, alipotembele OfIsi hizo zilizopo Sinza Kijiweni Dar es Salaam jana. Picha; Imani Nathaniel

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.