Bana Congo

Dimba - - Burudani za wasani - Zimeandaliwa na NOAH YONGOLO

FERRE GOLA AMPONDA KOFFI

MKALI wa vocal RDC, Ferre Gola ‘Le Padre’, amemponda Koffi Olomide akimwita ni zilipendwa. Amewataja JB Mpiana, Werrason, Fally Ipupa na yeye kuwa ndio wafalme wa Rumba.

MOI JE VERIFIE

MOI Je Verifie ni pini mpya tofauti na miondoko uliyoizowea DRC, hii imedondoshwa na mwanamuziki Naza akiwashirikisha Dadju na Aya Nakamura.

DADJU AACHIA NGOMA

NAYE mwanamuziki Dadju ameachia ngoma yake iitwayo Mafuzzy Style, ni nzuri kuisikiliza na kujimwaga pia, ni mchanganyiko na muziki wa Pop.

BILL CLINTON

RAPA mkongwe DRC, Didier Kalondji ‘Bill Clinton,’ amerudi na ngoma kali mpya na tamu inayokwenda kwa jina la Fais Ton Choix (Carrosserie).

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.