KOCHA TOTTENHAM AOMBA KIKAO NA BEKI WAKE

Dimba - - Burudani za wasani -

KOCHA wa Tottenham, Mauricio Pochettino, amepanga kuzungumza na beki wa kati wa timu hiyo, Toby Alderweireld, ili kujua kama atabaki msimu ujao au ataondoka. Beki huyu wa Ubelgiji yupo kwenye rada za vigogo wa Ulaya, Chelsea, Manchester United na Paris Saint Germain.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.