LIVER WAMNYIMA USINGIZI ZIDANE

Dimba - - Burudani za wasani -

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amesema hana uhakika kama atabaki Bernabeu, baada ya matokeo ya mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, dhidi ya Liverpool. Japo uongozi wa Madrid haujasema lolote kama utamtimua Zidane, lakini Mfaransa huyo amekuwa na wasiwasi na kibarua chake ikitokea Liver wakabeba ubingwa wa Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.