Analojia Vs. Digitali

Dimba - - Dimba Special -

MASIKIO ya wabishi kijiweni kwetu safari hii yapo katika mtaa wa Msimbazi, yani pale klabu ya Simba ambako timu yao ndiyo iliyofanikiwa kutwaa ubingwa msimu huu. Walivyotuletea mada ya ubishi wao sisi wazee wa Kijiwe tukakubaliana kwa vile ndicho kipindi chao, hivyo tukawaruhusu. Ndipo wakatuletea majina mawili ya wachezaji wa Simba, tena wote wanakipiga katika lile duru la mwisho la uwanja au kwa jina rahisi 'Ma straika'. Hebu tuwaachie uwanja kila mmoja amnadi anayemkubali yeye.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.