Mayweather

aonywa kuhusu UFC K OCHA wa Connor McGregor, Owen Roddy, amemuonya bingwa asiyepigika wa mchezo wa masumbwi wa uzito wa kati, Floyd Mayweather, kuwa asitarajie mteremko katika ulingo wa Octagon. LAS VEGAS, Marekani

Dimba - - Dimba Special -

Roddy, ambaye anafanya kazi huko Las Vegas gym day, amekuwa akimnoa McGregor kwa muda mrefu na amesema hayo alipoulizwa kuhusu mkali huyo kuingia katika UFC kurudiana na mwanafunzi wake.

Ni zaidi ya mwezi Mayweather, mwenye umri wa miaka 41, baada ya kufanya vizuri katika masumbwi, ameonyesha kuvutiwa na mchezo wa ngumi mchanganyiko. Mkali huyo kutoka Michigan amekuwa akiposti picha na video mbalimbali katika ukurasa wake wa Instagram akiwa katika ulingo wa Octagon. Roddy alisema kuwa, kila kitu kinawezekana, hata kurudiana na McGregor, ambaye alipoteza katika mchezo wa masumbwi Agosti, mwaka jana.

Ni zaidi ya mwezi Mayweather, mwenye umri wa miaka 41, baada ya kufanya vizuri...

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.