Papii Kocha, Christian Bella wampa tano Melody Mbassa

Dimba - - Burudani - NA CHRISTOPHER MSEKENA

UMAHIRI wa mwanamuziki wa Afro Bongo, Melody Mbassa, umewavutia mastaa wa muziki nchini, Christian Bella na Papii Kocha, kiasi cha kummwagia sifa msanii huyo aliyewahi kutamba na wimbo wa Toto Party mwaka 2003.

Akizungumza na DIMBA juzi alipotembelea ofisi za gazeti hili Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam, Melody alisema mashabiki wamekuwa wakimtumia vidza eo mahojiano yao na Papii zinazowasha onyesha wakimsifia kwa uwezo wake wa kuimba na kutunga.

“Papii Kocha alihojiwa muda mfupi baada ya kutoka jela akas- ema gerezani alikuwa ananisikiliza mimi zaidi pia aliurudia wimbo wangu Nikoleze, lakini Bella naye kwenye ‘interview’ nyingi huwa ananitaja kama msanii wake anayenitabiria makubwa," alisema.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.