Mabibo Queens hoi Eagle

Dimba - - News - NA VALERY KIYUNGU

TIMU ya netiboli ya Eagle Queens ya Tabata imeifunga Mabibo Queens mabao 21-20, katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Urafiki, Shekilango jijini Dar es Salaam.

Mabibo Queens ilitumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya Ligi Daraja la Pili inayotarajia kufanyika mkoani Mtwara.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.