GALLAGHER AMPANDISHA CHATI MOURINHO

Dimba - - News -

LICHA ya kundi kubwa la wachambuzi duniani na wachezaji wa zamani wa Man Utd kukosoa aina ya soka la Jose Mourinho na kuonekana kama amefeli, lakini mwanamuziki, Noel Gallagher ambaye pia ni shabiki wa Man City anasema kocha huyo anafanya kazi kubwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.