CHELSEA KUMWONGEZEA KANDARASI FABREGAS

Dimba - - News -

CHELSEA wanatarajia kumwongezea mkataba mpya kiungo wao, Cesc Fabregas, mwenye umri wa miaka 31. Mkataba wa awali wa Mhispania huyo kati yake na The Blues unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.