SOUTHAMPTON WAVUTIWA NA CAHIL

Dimba - - News -

SOUTHAMPTON wameonyesha nia ya kumsajili beki wa kati wa Chelsea, Gary Cahil, ambaye mkataba wake unafikia tamati mwishoni mwa msimu viunga hivyo vya Darajani, ingawa The Blues wenyewe wako tayari kumwongezea mkataba mpya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.