ARSENAL, MIGUEL WAMALIZANA

Dimba - - News -

Arsenal ni kama wamemaliza kila kitu kukamilisha usajili wa kiungo Miguel Almiron, raia wa Paraguay kutoka Atalanta. Taarifa hiyo imethibitishwa na Rais wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), Darren Eales.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.